MAJALIWA: RAIS SAMIA ANAFIKISHA MAENDELEO KWA WATANZANIA WOTE.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kwa vitendo kuongoza Taifa  na kufikisha maendeleo kwa Watanzania wote bila kujali tofauti za kidini na ukabila. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kusimamia mshikamano, haki na umoja wa Taifa, hivyo amewasihi Watanzania